Cari Blog Ini

Wednesday, April 22, 2026

TUNACHOFANYA AWLF

💬 : 0 comment

AL-WAQF LILLAAHI FOUNDATION 

inatekeleza miradi yenye lengo la kuinua maisha ya jamii kupitia:  

• Elimu – kusaidia watoto na vijana kupata elimu bora  

• Afya – kutoa elimu ya afya na kusaidia wagonjwa wasiojiweza  

• Misaada – kuwahudumia yatima, wajane, wazee na wahitaji  

• Waqf – kuendeleza miradi endelevu ya sadaka ya kudumu  

• Uwezeshaji – mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake na vijana  

Kwa pamoja tunajenga jamii yenye ustawi na matumaini. 



No comments:

Post a Comment