Cari Blog Ini

Wednesday, April 22, 2026

USHIRIKIANO NA AWLF

💬 : 0 comment

 UNATAKA KUSHIRIKIANA NA AWLF?  

Tunakaribisha wadau, mashirika, viongozi wa dini, na watu binafsi wenye nia ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

Tafadhali tuma maelezo yafuatayo:  

1. Jina la taasisi/mwakilishi  

2. Aina ya ushirikiano  

3. Lengo la ushirikiano  

4. Muda unaotarajiwa  

5. Mawasiliano rasmi  

Baada ya kupokea taarifa hizi, tutafanya tathmini ya ndani na kukujulisha hatua inayofuata.




No comments:

Post a Comment