Karibu kwenye ukurasa rasmi wa AL-WAQF LILLAAHI FOUNDATION (AWLF).
Hapa tunajenga jamii kwa misingi ya Ihsan, huruma, uadilifu na kujitolea.
Tutakuwa tukikuletea taarifa za miradi, elimu, misaada, afya, na shughuli za Waqf kwa ajili ya kuinua maisha ya jamii.
Karibu sana katika safari ya kuleta Ihsan katika jamii.
AlWaqfLillaahi #AWLF #IhsanKatika
Jamii

No comments:
Post a Comment