Cari Blog Ini

Wednesday, April 22, 2026

KAZI ZETU KATIKA JAMII

💬 : 2 comments
AWLF inaendelea kuandaa mipango, mikakati na miradi ya kusaidia jamii katika maeneo ya elimu, afya, misaada na Waqf.  
Tunajenga timu imara ya kujitolea na kuandaa mazingira bora ya utekelezaji wa miradi.

Hii ni safari ya Ihsan — na wewe ni sehemu yake.



2 comments: